All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Video On
Uganda
UG Pronograph
African Countries and Thier Life Styles
Youtubehistory of Museven
Uganda
Klt
Liberation of
Uganda
NRA Power Capture 1986
History of
Uganda
Report Wrdalili Za Gono
A Trip to
Uganda
Life in
Uganda Africa
DRC Leo
African Lifestyle
Tourism in
Uganda
African Biographies
Museveni in Ankole
Namayumba
Uganda
Shamila Rashid
Uganda
Facts About Big 5 Mammals in
Uganda
How Museveni Came to Power
Oqata
Uganda
Ugandan War
Uganda
Voice of America Swahili
Waasi Wa
Congo M23
Uganda
Lifestyle
VOA Swahili Leo
Vita Ya Kongo
VOA Swahili
Documentary Done by Natasha Museveni
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Video On
Uganda
UG Pronograph
African Countries and Thier Life Styles
Youtubehistory of Museven
Uganda
Klt
Liberation of
Uganda
NRA Power Capture 1986
History of
Uganda
Report Wrdalili Za Gono
A Trip to
Uganda
Life in
Uganda Africa
DRC Leo
African Lifestyle
Tourism in
Uganda
African Biographies
Museveni in Ankole
Namayumba
Uganda
Shamila Rashid
Uganda
Facts About Big 5 Mammals in
Uganda
How Museveni Came to Power
Oqata
Uganda
Ugandan War
Uganda
Voice of America Swahili
Waasi Wa
Congo M23
Uganda
Lifestyle
VOA Swahili Leo
Vita Ya Kongo
VOA Swahili
Documentary Done by Natasha Museveni
3:08
Jeshi la Uganda baada ya mshambulizi ya anga limeanza operesheni ya kuwasaka waasi wa ADF katika eno la Beni na mengineo. #jeshi #Uganda #mashambulizi #operesheni #waasiwaADF #DRC #voa #voaswahili | VOA Swahili
379.9K views
Dec 16, 2021
Facebook
VOA Swahili
2:55
Waasi wauwa wanafunzi 37 Uganda: Waasi wauwa watu zaidi ya 40, ambapo 37 ni wanafunzi nchini Uganda. Wahalifu hao walivamia shule ya upili ya Lubhiriha eneo la Mpondwe #NipasheWikendi Rashid Abdalla Lulu Hassan | Citizen TV Kenya
33.9K views
Jun 17, 2023
Facebook
Citizen TV Kenya
2:50
Mahakama nchini Uganda imemhukumu kamanda wa waasi Thomas Kwoyelo kifungo cha miaka 40, kwa makosa ya uhalifu wa kivita. Kamanda huyo alipatikana na hatia ya kushiriki katika vitendo vya ukatili dhidi ya raia na uvunjaji wa haki za binadamu wakati wa uasi uliodumu kwa miaka mingi. #kurunzi 25.10.2024 | DW Kiswahili
765 views
Oct 25, 2024
Facebook
DW Kiswahili
1:49
Watu watano wameuwawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika eneo la mpaka wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo karibu na mji unaodaiwa kutekwa na waasi wa M23 wa Goma. Milio ya risasi imesikika katika mji huo hii leo. Maelfu ya watu wamekimbilia maisha yao. Tazama video hii. #kurunzi Kurunzi 27.01.2025 | DW Kiswahili
33.8K views
Jan 27, 2025
Facebook
DW Kiswahili
16:16
Waasi wa M23 wa wakamata wapiganaji wa FDLR na kuwarudisha kwa nyumba Rwanda ,M23 imesema iwapo itakamata ADF itawapeleka kwa Uganda. M23 imeshutumu MONUSCO nchini DRC kushirikiana na wapiganaji wa FDLR kuyumbisha uaslama mashariki mwa Congo na Kanda ya maziwa makuu wakiunagana na SADC. | MTV News DRC
110.8K views
Mar 1, 2025
Facebook
MTV News DRC
1:29
Mapigano makali yameripotiwa kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa DRC yameripotiwa wilayani Rutshuru ambapo jeshi la DRC FARDC linajaribu kuendelea kupambana na waasi ili kuchukua tena maeneo ambayo waasi wamejikita. | VOA Swahili
889.1K views
Nov 11, 2022
Facebook
VOA Swahili
3:16
Wanajeshi waasi wa zamani waliosalimisha silaha zao waiomba serikali iwasaidie kutokana na hali ngumu ya maisha. | VOA Swahili
583.5K views
Jul 8, 2020
Facebook
VOA Swahili
0:54
Waasi wa M23/AFC wanaougwa mkono na Rwanda, wameuteka mji wa Uvira Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, siku ya Jumatano, katika hatua ambayo Burundi inasema ni kama matusi kwa Marekani baada ya kutiwa saini kwa mkataba wa amani jijini Washington. Victor Abuso anaeleza zaidi…. #AFC #Rwanda #Congo #Uvira #bukavu2025 #RDC | RFI Kiswahili
47.9K views
5 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
2:43
Kundi la waasi wa AFC/M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti Jumanne usiku wa mji wa kimkakati wa Uvira unaopakana na Burundi baada ya mapigano makali na Jeshi la Kongo la FARDC. | DW Kiswahili
51.4K views
5 months ago
Facebook
DW Kiswahili
1:14
Waasi wa M23 wamedai kuanza kuondoka kwenye mji wa Uvira, jimboni Kivu Kusini, huko mashariki mwa Kongo, jioni ya jana Jumatano. Tazama jinsi hali ilivyokuwa. #DWKiswahili #dwhabarileo | DW Kiswahili
438.7K views
5 months ago
Facebook
DW Kiswahili
1:24
Waasi wa M23 wameudhibiti mji wa Bukavu ukiwa ni wa pili baada ya ule wa Goma iliouchukua mwezi Januari. Miji hii yote ni makubwa na muhimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hatua hii ya waasi ilifungua mwanya kwa wahalifu wanaodaiwa kuiba chakula kilichokuwa maghalani, wengine wakiyakimbia makazi yao lakini wengine wakapiga nao "selfie" na kuwakaribisha kwa bashasha. Tizama video hii. #kurunzi | DW Kiswahili
17.8K views
Feb 18, 2025
Facebook
DW Kiswahili
1:35
Waasi wa M23 wameendelea kuondoka katika mji wa Uvira, mashariki mwa DRC, hatua wanayosema inalenga kuunga mkono juhudi za amani zinazoendelea katika eneo hilo. Kuondoka huko kumeacha hofu kuhusu ombwe la usalama na uongozi wa mji huo. 🎥Reuters #DRC #Congo #RDC #rdcongo #Uvira #M23 #Washington #RwandaPeace #peace | RFI Kiswahili
151.2K views
5 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
1:08
Waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda, wameanza kuondoka kwenye mji wa Uvira siku moja tangu watangaze kuwa wataachia mjhi huo kufuatia ombi la Serikali ya Marekani iliyowataka waondoke baada ya kuuchukua juma lililopita. Ali Bilali ana tuarifu zaidi.... #DRC #RDC #Rwanda #usa #Uvira | RFI Kiswahili
46.9K views
5 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
4:21
Kundi la waasi wa M23 wamekubali kuachia baadhi ya maeneo waliovamia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na hivi sasa wameyakabidhi kwa majeshi ya Afrika Mashariki. Hatua hii imefikiwa baada ya mazungumzo kufanyika nchini Angola. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya waasi wa M23 na ni hatua zipi walizochukuwa hadi sasa kuachia maeneo hayo na nini kilichoandaliwa ili kufikia suluhu ya kudumu. Endelea kusikiliza... | VOA Swahili
1.9M views
Dec 24, 2022
Facebook
VOA Swahili
6:31
Vita vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23 ni moja ya matukio mbaya yaliyojiri katika mwaka 2022. Waasi hao waliopigwa na kusambaratishwa kabisa mwaka 2012 walizuka tena na kuanza kuwapa taabu raia. Je, nini matokeo ya juhudi zinazofanyika kurejesha utulivu katika maeneo ya DRC, ikiwepo pia juhudi ya jumuiya ya Afrika Mashariki kuyakomboa maeneo ambayo yanakaliwa kwa mabavu na waasi hao. Sikiliza repoti kamili wakati tukihitimisha mwaka 2022... | VOA Swa
69.1K views
Dec 30, 2022
Facebook
VOA Swahili
0:29
Vyanzo vya karibu kwa waasi wa #M23 wanaosaidiwa na #Rwanda pamoja na Serikali ya #DRC, vimedai kuwa wajumbe toka pande hizo mbili walikutana kwa mara ya kwanza juma lililopita nchini #qatar kujaribu kumaliza machafuko yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo. Mazungumzo mengine ya ana kwa ana kati ya pande hizi mbili, yanatarajiwa kufanyika April 9 mjini Doha. Lakini je kipi kitarajiwe? Francois Alwende ni mchambuzi wa siasa za maziwa makuu akiwa nchini Kenya.👆 #RFIKiswahili | RFI Kiswahili
250.3K views
Apr 7, 2025
Facebook
RFI Kiswahili
1:13
Kundi la waasi wa #M23 linaloungwa mkono na #Rwanda liliua takriban raia 21 na pengine wengi zaidi kwenye mji wa #goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya Februari 22 na 23 mwaka huu, imesema ripoti ya shirika la Human Rights Watch. Ripoti ya Human Rights Watch imeangazia matukio ya tarehe 22 hadi 23 mwezi Februari mwaka huu katika Mji wa Goma, ikitoa taswira ya vitendo vya kihalifu vilivyofanywa na M23. Miongoni mwa watu 21 waliouwa wanajumuisha wanaume sita na mwanamke mmoj
234K views
11 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
1:34
Mkuu wa majeshi wa Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye ni mtoto wa Rais wa nchi hiyo, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani iwapo waasi wa M23 watachelewa kuteka mji huo. Kupitia mtandao wake wa kijamii wa X ambapo amezungumzia mengi kuhusu DRC, Kainerugaba, amesema jeshi lake au waasi wa M23 wataingai Kisangani kwa agizo la Rais Yoweri Museveni ili kuwaokoa wakaazi wa mji huo wakati wowote kutoka sasa. Video kamili ipo YouTube ya Global TV 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global
3K views
Mar 25, 2025
Facebook
Global Publishers
1:26
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Siku ya Alhamisi na sasa atasalia madarakani kwa miaka mingine mitano. Museveni, mwenye umri wa miaka 81, aliingia madarakani kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa waasi mwaka 1986 lakini tangu wakati huo ameshinda chaguzi saba. Carol Korir anatueleza kile alichokishuhudia baada ya Museveni kutangazwa mshindi. #fypageシ #Uganda #museveni2026 #UgandaElections | RFI Kiswahili
3.4K views
4 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
0:10
💥 RDC : Watu zaidi ya 10 wauawa katika shambulio jipya la waasi wa ADF huko Lubero, Kivu Kaskazini Watu zaidi ya kumi wameuawa katika shambulio jipya lililotekelezwa na waasi wa ADF katika wilaya ya Lubero, jimbo la Kivu Kaskazini, siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025. Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kuwa raia walivamiwa ghafla katika eneo la Bapere, ambapo waasi walitekeleza mauaji hayo kwa ukatili mkubwa. Shambulio hili linakuja muda mfupi baada ya matukio mengine ya vurugu katika en
527 views
6 months ago
Facebook
Mecamedia
1:11
Baada ya siku kadhaa za sintofahamu kufuatia kutekwa kwa mji wa Uvira na waasi wa M23, raia kadhaa wa Burundi waliokuwa wamekwama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza kurejea nyumbani. Mpaka wa Gatumba umefunguliwa kwa muda kuruhusu kurejea kwao. 🎥Reuters #Burundi #Gatumba #DRCongo #RDC #Rwanda #burundian | RFI Kiswahili
257.8K views
5 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
2:00
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wapongeza juhudi inayofanywa na jeshi kuwashawishi waasi kujisalimisha | VOA Swahili
824.4K views
Feb 3, 2020
Facebook
VOA Swahili
0:06
Vikosi vya usalama nchini Uganda vimemuua mganga wa jadi, Christian Asuman Muganzi, anayedaiwa kuongoza mashambulizi ya kuratibiwa dhidi ya vituo vya polisi na jeshi katika wilaya za Bundibugyo, Kasese na Fort Portal, karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Zaidi ya wapiganaji 20 waliuawa, wengine 15 wakakamatwa. Mganga huyo alitumia eneo lake ya jadi kusajili na kuwalinda wapiganaji wake kwa kutumia dawa za mitishamba na imani za kishirikina. Mashambulizi hayo yalilenga kuchuku
3.1K views
6 months ago
Facebook
Gladness Kowero
0:18
🟦 UVIRA : Wazalendo watangaza msimamo mkali dhidi ya waasi, watoa onyo kwa FARDC na makundi ya uasi Ujumbe mkali umetolewa leo na baadhi ya viongozi wa Wazalendo katika mji wa Uvira, wakisisitiza kuwa hawataruhusu kundi lolote la waasi kuvuka na kufika katika eneo hilo. Katika taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Wazalendo wameeleza kuwa licha ya changamoto za kiusalama katika maeneo ya Bukavu na Goma, Uvira itabaki kuwa “ngome ya amani na ulinzi”. Wamekumbusha pia hatua ya mwaka 202
136.1K views
5 months ago
Facebook
Mecamedia
0:33
Wasafi Kid: Exploring Uganda's Vibrant Culture
806.5K views
10 months ago
TikTok
janewapassion4
0:44
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila, amekanusha shutuma za nchi jirani ya Uganda, kwamba alitoa hifadhi kwa kundi la waasi wa ADF, na kuliruhusu kutumia rasilimali za madini. Kabila aliongoza Kongo kutoka mwaka wa 2001 hadi 2019, kabla ya rais wa sasa Felix Tshisekedi, kuchukua uongozi wa nchi hiyo. Wiki iliyopita, Rais wa Uganda Yoweri Museveni, alisema Kabila aliruhusu wanamgambo wa Allied Democratic Forces (ADF), kundi ambalo lina uhusiano na Kundi la kigaidi la I
1.4K views
Jul 18, 2023
Facebook
VOA Swahili
2:34
Wasiwasi mkubwa umeukumba mji wa Goma mji mkuu wa jimbo la Kivu kaskazini na makao makuu ya pili ya MONUSCO nchini DRC. Hii inafuatia waasi wa M23 kuukamata mji wa Sake katika wilaya ya Masisi wakiendelea kusonga mbele na kuwazingira wanajeshi wa serikali, SADC na MONUSCO katika mji wa Goma, ambao una watu wengi ikiwemo mamilioni ya wakimbizi wa ndani waliokimbia makazi yao kutokana na mapigano ya kila siku. Mwandishi Austere Malivika wa Idhaa ya Kiswahili ametembelea eneo la mapigano kilometa i
411.1K views
Jan 23, 2025
Facebook
VOA Swahili
3:53
Jeshi la Uganda UPDF linaendelea na operesheni zake DRC ambapo limetangaza kuua baadhi ya waasi wa kundi la ADF wakiwemo makamanda wao wakati wa mashambulizi ya anga na mizinga katika misitu ya Beni Kaskazini mwa DRC chini ya milima ya Ruwenzori. Austere Malivika ana taarifa kamili. | VOA Swahili
351.4K views
Dec 10, 2021
Facebook
VOA Swahili
1:46
Serikali ya Tanzania imeutaka Umoja wa Mataifa kufanya upelelezi wa kina juu ya shambulio la kushitukiza lilopelkea vifo vya askari wake 14 walio kuwa wakilinda amani nchini Kongo Miili ya askari hao imeagwa katika makao makuu ya Jeshi la wananchi la Tanzania ''Ngome'' na kusafirishwa kueleka mikoa mbali mbali kwa maziko Askari hao pamoja na wenzano 44 ambao ni majeruhi na mmoja ambaye hajulikani aliko walipambana na waasi wa ADF kwa saa kumi na tatu baada ya waasi hao kufanya shambulizi la kush
43K views
Dec 14, 2017
Facebook
BBC Swahili
0:59
Jeshi la Serikali ya Congo, FARDC kwa kushirikiana na lile la Uganda, UPDF, wamezidisha kasi ya operesheni za kijeshi dhidi ya wapiganaji wa ADF kwenye jimbo la Ituri mashariki mwa nchi hiyo. Tangu Jumapili asubuhi, majeshi hayo yamekuwa yakitekeleza operesheni za pamoja dhidi ya waasi hao wa Uganda katika eneo la mashariki mwa mji wa Bunia. | RFI Kiswahili
23.1K views
10 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
See more
More like this
Feedback