News
Makada watano wa CCM wamejitokeza kumrithi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika nafasi ya ubunge wa Ruangwa mkoani Lindi, ...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewaelekeza wakuu wa wilaya kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa wakati ili kusaidia kuendeleza amani na utulivu katika maeneo yao ya kazi Kanali Mtam ...
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kinara namba moja wa uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika na Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Nishati na Maji wa Jumuiya ya Maendeleo K ...
Kiongozi Mstaafu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi CCM imepuuza sekta ya kilimo ...
KIONGOZI wa Taifa Tukufu na Kubwa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa hilo lenye ...
Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira kwa vizazi vijavyo. Wito huo ...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) kupitia Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amekanusha uvumi uliokuwa ukisambaa mitaani kwamba ni miongoni mwa viongozi waliochukua fomu ...
Wakati watia nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuchukua na kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge, Jimbo la Bukombe limebaki na jina moja pe ...
Nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job, amesema licha ya kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu na Kombe la FA, msimu huu ulikuwa mgumu zaidi kwao. Akizungumza na Nipashe jana, Job, alisema msimu huu ulikuwa ...
Siku chache baada ya kuthibitika kiungo Fabrice Ngoma anaondoka, Uongozi wa klabu ya Simba tayari umeanza mchakato wa kumpata ...
Mafanikio ya Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi, inaelezwa yamewagawa viongozi wa klabu hiyo ambapo awali walitaka kuachana naye na ...
Mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Inyala katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Neema Nsimama ameuawa kwa kukatwa na shoka kichwani na mumewe aitwaye Julius Paulo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results